HAPA NITAHUSISHA ELIMU YA UFUMAJI WA MITINDO NA MAPAMBO MBALIMBALI KUTOKANA NA VITAMBAA MBALIMBALI TULIVYOVIZOEA
Sunday, January 21, 2018
UFUMAJI WA FORONYA
Atakuwanazo,mie hiyo Biashara niliifanya sana miaka ya 90,nilikuwa nachukua Kigoma naleta Zanzibar kwa njia ya Posta mfumo wa Cargo.
Wafanyabiasahara wanajuana,akikosa kwake huwa wanatafuta kwa mwenzie.Na kama hana kama hizo aniambie nimuelekeze wapi akaweke Order yake.Maana niliisha stafu kazi hiyo ila channels zote ninazo naweza kumsaidia kama ni mchanga wa Biashara hiyo.Ila mpaka kupost humu ni kwamba na yeye anafaham.
Sema tu hizo zake na Mjazo huo ni bei tofauti sana.Hizo zake ndio za bei rahisi ila hizo nimezomwambia ajazie bei yake shughuli pevu.
Biashara nzuri kama akijipanga,na akitafuta masoko mikoa mbalimbaliANGALIA ZAIDI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment