Sunday, January 21, 2018

UFUMAJI WA FORONYA



Atakuwanazo,mie hiyo Biashara niliifanya sana miaka ya 90,nilikuwa nachukua Kigoma naleta Zanzibar kwa njia ya Posta mfumo wa Cargo.

Wafanyabiasahara wanajuana,akikosa kwake huwa wanatafuta kwa mwenzie.Na kama hana kama hizo aniambie nimuelekeze wapi akaweke Order yake.Maana niliisha stafu kazi hiyo ila channels zote ninazo naweza kumsaidia kama ni mchanga wa Biashara hiyo.Ila mpaka kupost humu ni kwamba na yeye anafaham.

Sema tu hizo zake na Mjazo huo ni bei tofauti sana.Hizo zake ndio za bei rahisi ila hizo nimezomwambia ajazie bei yake shughuli pevu.
Biashara nzuri kama akijipanga,na akitafuta masoko mikoa mbalimbaliA
NGALIA ZAIDI

AINA MBALIMBALI ZA FORONYA

ANGALIA HAPA

Sunday, January 14, 2018

UFUMAJI


HAPA TUTAONA NAMNA MBALIMBALI ZA KUFUMA VITAMBAA VYA MAKOCHI PAMOJA NA MEZA KARIBUNIIIIIIIIIIIIIII


Saturday, January 13, 2018

PICHA ZA UFUMAJI WA MAPAMBO MBALIMBALI



 KARIBU KATIKA SOMO LETU LA LEO WAPENDWA, LEO TUTAWEZA KUONA  PICHA TAFAUTI ZINAZOONESHA MAPAMBO MBALIMBALI YALIYOFUMWA KUTOKANA NA ELIMU YA UFUMAJI NA KUWEKWA KATIKA ,MASHUKA YA VITANDA TAFAUTI VYENYE KUPENDEZA,,,,TEEEEEEEEEEEENAAAAAAAAAAA!!!,,,,,,, MAMBO NI KUJIWEZA WEEE!!













UFUMAJI WA VISHADA VYA MAUWA YA SUNFLOWERS

KATIKA DARSA YETU YA LEO YA UFUMAJI TUTAONA JINSI GANI TUNAWEZA KUTENGENEZA VISHADA TAFAUTI VYA MAUWA YA SUNFLOWERS, ILI KUWEZA

KUIPATA ELIMU HII BASI UNGANA NAMI PAMOJA KATIKA VIDEO IFUATAYO ILI UWEZE KUJUWA UFUMAJI HUO

UFUMAJI WA KAPETI

HUU NI UBUNIFU WA UFUMAJI WA KAPETI AMBAYO INATUMIA SALVET NA KWA KUTUMIA PENI NA PENSELI KWA KUCHORA NA KUTUMIA SINDANO YA MKONO KWA UFUMAJI WENYEWE